* Urambizaji wa maelezo ya apu sasa inaheshimu orodha za lugha katika Android
  Mipangilio ya Lugha

* Kichupo cha hivi karibuni inaorodhesha matokeo kulingana na Mipangilio ya Lugha

* Kichupo cha hivi karibuni sasa inaonyesha matokeo iliyopangwa kipya kwanza (@TheLastProject @IzzySoft)

* Msaada wa madhari imefanywa ya kisasa na imefungwa kwa mandhari iliyojengwa-ndani ya Android (@proletarius101)

* Matokeo ya kutafuta imeboreshwa sana (@Tvax @gcbrown76)

* Wacha Android iratibishe kwa ufanisi operesheni yakusafisha kache ya usuli (@Isira-Seneviratne)
