* tumia njia za arifa kwa udhibiti wa laini-punje (@Isira-Seneviratne)
* shiriki apu kutumia Direct Share kutoka maelezo ya apu (@fynngodau)
* Kichupo cha hivi karibuni itaonyesha matokeo bora kwenye vifaa Visivyo-Kingereza
* masasisho kwa maktaba ya msingi (Jackson, androidx, gradle, na kadhalika)
* Ng'arisha msaada wa whitelabeling

Asante wachangiaji wapya! @fynngodau @projectgus @glennmen @Isira-Seneviratne
