* usanidi wa ruhusa mpya wa Andorid 10 ili kusimamisha vikumbusho ya vyanzo visivyojulikana #1833
* Shughulikia "ruhusa za gawa" mpya: eneo laini inamaanisha eneo kali
* Rekebisha upendeleo wa upau wa tafuta kwenyematoleo ya Android ya karibuni (asante @dkanada)
* Seti sheria za chelezo ili kuepuka kuhifadhi ghala hio ya badili
* Kibodi inafunguka wakati tafuta imefutwa
* usawazishi wa tafsiri na kamba za Android
* lazimisha vikoa vya kawaida ya ghala kwa HTTPS (GitLab, GitHub, Amazon)
* athari ya ripple ya kawaida kwa viungo kwenye maelezo ya apu
* onyesha ikoni ya chaguo-msingi kwa apu ambayo haina ikoni
