* Shughulikia usanidi wa ruhusa za Android 10 ili kukomesha maongozi za vyanzo vizivyojulikana
* Kibodi inafunguka wakati tafuta imefutwa
* kusawazisha tafsiri na mifuatano ya Android
* lazimisha vikoa kwa ghala vya kawaida kwa HTTPS (GitLab, GitHub, Amazon)
