* Rekebisha upendeleo wa upau wa kutafuta kwenye toleo la hivi karibuni wa Android (Asante @dkanada)
* Shughulikia ruhusa-gawanya za API 29: eneo laini sasa inamaanisha eneo kali
* Bainisha sheria za chelezo ili kukwepa kuhifadhi ghala ya badilisha
