* Msaada kwa vioo rasmi kwa repo yoyote, na uteuzi-otomatiki msingi kwenye upatikanaji

* Wingi wa ung'arishaji wa UI, vilevile uthabiti na marekebisho ya hitilafu

* Mapendeleo mapya ya faragha; Zuia picha za skrini; toka kwa hofu

Lugha mapya: Kihoya (ko) na Kivietinamu (vi)
