* Rekebisha kiukubwa vile repo inawakilishwa kwa watumiaji ili kuifanya wazi wakati sanikisho linakuja kutoka pahali pengine bali f-droid.org.

* Kubali watumiaji kubadilisha kipaumbele ya repo kimataifa na kwa apu

* Vipengele vya Kukwaza vya kawaida sasa vimewezeshwa kwa chaguo-msingi, badala ya kulemazwa.

* Saidia kupokea URL za repo kupitia Share

* Shughuli zote inaheshimu mandhari ya mchana/usiku

* Sasisha matumizi ya hifadhi ya nje ili ifanye kazi na targetSdkVersion 29

* F-Droid Basic imesasishwa ili kufanya kazi na targetSdkVersion 34
