* Marekebisho makubwa zaidi ya UI ya badilisha, ili kutayarisha kuandika upya misingi
* onyesha "Tengua" baada ya kufuta vipengee kutoka kwenye kichupo cha "Masasisho" (thanks @Hocuri!)
* Rekebisha masuala yenye onyesho la "Hivi karibuni" iliyosababishwa na kutoshughulikia ipasavyo kanda za saa #1757
* Puuza ajali zote zisizo muhimu kwenye huduma za usuli
* Ilifanya marekebisho makubwa ya badilisha ya karibu kutumia mtandao-hewa ya AP ya kifaa hicho
* Ongeza majibu mapaya ya hofu: saniduo za apu na uweke upya ghala kuwa chaguo-msingi
* Viendeshi vya flash vya USB OTG inaweza kutumika kama ghala na vioo vya karibu
