* Marekebisho makubwa ya UI wa kubadilisha, inajitayarisha kuandika upya

* Onyesha "Tengua" baada ya kufuta vipengee kutoka kwenye kichupo cha "Masasisho" (thanks @Hocuri!)

* Rekebisha ushughulikiaji wa ETag wakati unaunganisha kwa vioo vya NGINX #1737

* Rekebisha masuala yenye onyesho la "Hivi karibuni" iliyosababishwa na kutoshughulikia ipasavyo kanda za saa #1757

* Puuza ajali zote zisizo muhimu kwenye huduma za usuli

* Usitumie kiendelezi chenye upendeleo ikiwa imezimwa kwenye "Mipangilio"
