* Marekebisho makubwa kubwa ya orodha hio ya "Matoleo" katika "Maelezo ya apu", na maboresho mengine mengi ya UI, asante kwa mchangiaji mpya @wsdfhjxc

* Rekebisha urambizaji wa kibodi/D-padi katika sehemu nyingi, asante kwa mchangiaji @doesffinger

* Onyesha kitufe cha "Fungua" wakati media inaweza kusakinishwa na inaweza kuonekana

* Ongeza kitufe cha shiriki kwa "Apu zilizosakinishwa" ili kutuma nje orodha ya CSV

* Ongeza orodha ya APK zinazoweza kubonyezwa kwa ukurasa wa faharasa wa HTML wa kubadilishana

* Jaribu tena pakuo za faharasa kutoka kwa vioo

* Rekebisha "Tuma kupitia Bluetooth" kwa matoleo ya Android ya hivi karibuni
