F-Droid ni 1.0!

Toleo hili inajumuisha mabadiliko mengi makubwa

* Mtiririko wa kazi uliofanyiwa mabadiliko makubwa kamili kwa kusasisha apu

* Maelezo na Mukhtasari wa apu inayoweza kutafsiriwa kamili

* Sehemu ya "Kipi kipya" kuonyesha mabadiliko katika toleo la sasa

* Picha za skrini na picha za kipengele

* Msaada wa kusakinisha faili za media, OTA, ZIP, na kadhalika

* Kinga iliyoboreshwa dhidi ya kufuatilia (HTTP ETag, TLS, na kadhalika)

* Masasisho kamili ya usuli na kiendelezi Chenye Upendeleo

* Angazia michango kwa wasanidi wa apu

* Masasisho ya index iliyo haraka sana
